36.Anisikiaye, Aliye Yote
Whosoever will 1. Anisikiaye, aliye yote; Sasa litangae, wajue wote, Duniani kote neno wapate, Atakaye na aje! Chorus: Ni “Atakaye” […]
Whosoever will 1. Anisikiaye, aliye yote; Sasa litangae, wajue wote, Duniani kote neno wapate, Atakaye na aje! Chorus: Ni “Atakaye” […]
While shepherds watched their flocks 1. Wachunga walipolinda Kucha nyama zao, Malaika mtukufu Alishuka kwao. 2. Wakacha sana wachunga, Akawatuliza,
“Man of sorrows,” what a name 1. Ni “Mtu wa Simanzi,” Mwana wa Mwenye enzi, Mwenye mengi mapenzi! Asifiwe Bwana
God is love 1. Mungu ni pendo, apenda watu; Mungu ni pendo, anipenda Chorus: Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni pendo,
I heard the voice of Jesus say 1. Yesu aliniita, “njoo, Raha iko kwangu, Kichwa chako ukilaze Kifuani mwangu.” Nilikwenda
How sweet the name of Jesus sounds 1. Jina lake Yesu tamu; Tukilisikia Hutupoza, tena hamu Hutuondolea. 2. Roho iliyoumia
Mle kaburini, Yesu Mwokozi!Alilazwa chini, Bwana wangu! Bwana! Amefufuka,Kifo kimeshindwa kabisa!Gizani mle alitoka chini,Sasa atawala huko Mbinguni!Yu hai! Yu hai!Bwana
I was a wondering sheep 1. Nilikuwa kondoo aliyepotea, Sikupenda zizi kamwe, ila kutembea Nilikuwa mwana asiyesikia, Sikupenda baba yangu
Christ the Lord is risen today 1. Bwana amefufuka, Aleluya. Twimbe na malaika, Aleluya. Sifa zetu na shangwe, Aleluya. Na
Ndugu wa Kirohoni 1. Ndugu wa kirohoni Mliokombolewa, Tafakarini sana Yatupasayo. Wapenzi wake Yesu Tuliokombolewa, Tujitice kabisa, Wengi waponye. 2.