87.Deni Ya Dhambi Ilimalizika
Jesus paid it all 1. Deni yangu ya dhambi, Yesu amelipa, Kwake Msalabani Nilipewa uzima. Chorus Deni ya dhambi, Msalabani […]
Jesus paid it all 1. Deni yangu ya dhambi, Yesu amelipa, Kwake Msalabani Nilipewa uzima. Chorus Deni ya dhambi, Msalabani […]
Ten thousand times ten thousand 1. Maelfu na maelfu, Wenye nguo bora! Masafu ya waongofu Wenye na bendera! Amekwisha kamili
Be quick, m soul, and light thy lamp 1. Roho yangu hima, na taa yako Kaiwashe vyema, hapa si pako;
Wounded for me 1. Aliteswa, aliteswa, Msalabani Yesu aliteswa, Dhambi zangu ameziondoa, Mahali pangu aliumizwa. 2. Alikufa, alikufa, Msalabani Yesu
Spirit Divine attend our Prayers 1. Ewe Roho wa Mbinguni Uje kwetu sasa. Ufanye makazi yako Ndani ya Kanisa. 2.
I need Thee every hour 1. Nina haja nawe Kila saa; Hawezi mwingine Kunifaa. Chorus: Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa!
Beulah Land 1. Waitwa, mwovu, na Bwana Umwendee hima sana, Usafiwe dhambi zako, Humwoni ni mwema wako? Chorus: Unaitwa! Itika
The everlasting gospel 1. Bwama wa mabwana, Mwenye nguvu sana, Twakusihi: Neno la milele Na liende mbele, Waongoke tele Kwa
1. Dhambi ikikulemea, Kwa Bwana rehema; Hivi sasa tegemea Neno la salama. Chorus: Tegemea, tegemea, Akwita sasa. Ni Mwokozi, ni
Blessed be the fountain of blood 1. Ndiyo damu ya baraka, ituoshayo wakosa, Kwake Bwana twaokoka, nasi twamsifu sasa; Nimestahili