73.Yesu Zamani Bethlehemu
Jesus my Saviour, to Bethlehem came 1. Yesu zamani Bethilehemu Aliyezaliwa kwa aibu, Ndiye Mwokozi wa ulimwengu, Akaja kwa mimi. […]
Jesus my Saviour, to Bethlehem came 1. Yesu zamani Bethilehemu Aliyezaliwa kwa aibu, Ndiye Mwokozi wa ulimwengu, Akaja kwa mimi. […]
Have Thine own way, Lord 1. Mapenzi yako yafanyike, Wewe Mfinyanzi, nami towe, Unifinyange upendavyo, Mimi tayari, naja kwako. 2.
One day when heaven was filled with His praises 1. Siku ya Mbingu kujawa na sifa, Dhambi zilizidi duniani; Yesu
Look, ye saints, the sight is glorious 1. Tazameni huyo ndiye, Mwenye kushinda vita; Haya, tumsujudie; Nyara anazileta; Watu wote
1. Katika safari yetu Kwenda Mbinguni Tusiishe siku zetu Usingizini. Chorus Ng’oani! Tujifungeni, Twende zetu juu! Kristo ndiye kiongozi; Tusihofu
Tumrudie Bwana 1. Mbona washangaa njiani? Mbona warejea nyuma? Warudi tena gizani, Alimokutoa Bwana? 2. Ni ya bure yote haya
All hail the power of Jesus’ name 1. Jina la Yesu, Salamu! Lisujudieni, Ninyi Mbinguni, hukumu Na enzi mpeni. 2.
1. Kale nilitembea Nikilemewa dhambi Nilikosa msaada, Kuniponya mateso. Chorus: Usifiwe Msalaba! Lisifiwe kaburi! Linalozidi yote, Asifiwe Mwokozi! 2. Hata
Mungu Msaada Wetu O God, our help in ages past 1. Mungu msaada wetu Tangu miaka yote, Ndiwe tumaini letu
Rock of Ages, cleft for me 1. Mwamba wenye imara, Kwako nitajificha! Maji hayo na damu Yaliyotoka humu, Hunisafi na