120. Enyi Wanadamu
Souls of men, why will ye scatter? 1. Enyi wanadamu mbona Sana mwatanga-tanga, Kama kondoo wanyonge, Wasio na mchunga? Yuko […]
Souls of men, why will ye scatter? 1. Enyi wanadamu mbona Sana mwatanga-tanga, Kama kondoo wanyonge, Wasio na mchunga? Yuko […]
New every morning is the love 1. Mapya ni mapenzi hayo, Asubuhi tuonayo, Saa za giza hulindwa, Kwa uzima kuamshwa.
We’re Marching to Zion 1. Mpendeao Bwana Ije raha yenu! Imbeni nyimbo za raha Wa ibada yenu. Chorus Twenende Sayuni,
My song shall be of Jesus 1. Nitaimba ya Yesu, Kwa rehema zake, Baraka nyingi sana Nimepata kwake; Nitaimba ya
There is a better world they say 1. Twasoma, ni njema sana Mbinguni, kwa Bwana; Twasoma dhambi hapana, Mbinguni, kwa
Thou my everlasting portion 1. Bwana, U sehemu yangu, Rafiki yangu, Wewe, Katika safari yangu Tatembea na Wewe; Pamoja na
I’ve a message from the Lord, hallelujah 1. Ni ujumbe wa Bwana, Aleluya! Wa maisha ya daima. Amenena mwenyewe, Aleluya!
Abide with me 1. Kaa nami, ni usiku tena; Usiniache gizani, Bwana; Msaada wako haukomi; Nili peke yangu, kaa nami.
The gate ajar for me 1. Liko lango moja wazi, Ni lango la Mbinguni, Na wote waingiao Watapata nafasi. Chorus
Loved with everlasting love 1. Mapenzi ya milele Ndiyo yanipendayo; Yalinipenda mbele, Sina fahamu nayo; Sasa amani yake Tele rohoni