3.Hata Ndimi Elfu
O for a thousand toungues to sing 1. Hata ndimi elfu elfu, Hazitoshi kweli Bwana Yesu kumsifu, Kwa zake fadhili. […]
O for a thousand toungues to sing 1. Hata ndimi elfu elfu, Hazitoshi kweli Bwana Yesu kumsifu, Kwa zake fadhili. […]
The Cross of Shame 1. Msalaba wa aibu, Ulinipa amani, Uliniondoa kifungoni, Nilimotesekea. 2. Ee, Mwokozi wangu, Yesu, Nitamwendea nani?
Lord Jesus, I long to be perfectly whole 1. Yesu nataka kutakaswa sana, Nataka moyo uwe enzi yako. Ukiangushe kilichoinuka
My Faith looks up to thee 1. Yesu kwa imani, Nakutumaini, Peke yako; Nisikie sasa, Na kunitakasa, Ni wako kabisa
Thou who didst call Thy saints of old 1. Bwana uliyewaita Watakatifu wako, Wawe mitume, wachunga, Walishe kundi lako; Wanyonge
Whosoever will 1. Anisikiaye, aliye yote; Sasa litangae, wajue wote, Duniani kote neno wapate, Atakaye na aje! Chorus: Ni “Atakaye”
While shepherds watched their flocks 1. Wachunga walipolinda Kucha nyama zao, Malaika mtukufu Alishuka kwao. 2. Wakacha sana wachunga, Akawatuliza,
How sweet the name of Jesus sounds 1. Jina lake Yesu tamu; Tukilisikia Hutupoza, tena hamu Hutuondolea. 2. Roho iliyoumia
Mle kaburini, Yesu Mwokozi!Alilazwa chini, Bwana wangu! Bwana! Amefufuka,Kifo kimeshindwa kabisa!Gizani mle alitoka chini,Sasa atawala huko Mbinguni!Yu hai! Yu hai!Bwana
I was a wondering sheep 1. Nilikuwa kondoo aliyepotea, Sikupenda zizi kamwe, ila kutembea Nilikuwa mwana asiyesikia, Sikupenda baba yangu