13.Tafuta daima utakatifu
Take time to be holy 1. Tafuta daima utakatifu; Fanya urafiki na Wakristo tu; Nena siku zotena Bwana wako, Baraka […]
Take time to be holy 1. Tafuta daima utakatifu; Fanya urafiki na Wakristo tu; Nena siku zotena Bwana wako, Baraka […]
Far and near the fields 1. Po pote mashamba yajaa, Tele nafaka pevu, Po pote yang’aa meupe Bondeni na nyandani.
The strife is over Chorus Aleluya! Aleluya! Aleluya! 1. Hivi vita vimekoma, Vimeshindwa na uzima, Na asifiwe daima, Bwana Yesu.
At the Cross 1. Sioni haya kwa Bwana Kwake nitang’ara! Mti wake sitakana Ni neno imara! Chorus Msalaba ndio asili